Mshambuliaji Mohamed Salah
amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Afrika inayotolewa
na Shirika la Utangazaji la BBC.
Mshambuliaji huyo wa Liverpool na
timu ya taifa ya Misri amekuwa katika kiwango kizuri kwa klabu yake
pamoja na kwa taifa lake.
Salah, ambaye alijiunga na Livepool
kwa ada ya paundi milioni 39 akitokea Roma katika majira ya joto,
amefanya makubwa akiwa chini ya kocha Jurgen Klopp katika msimu huu.
Mohamed Salah akipongezwa na wachezaji wenzake wa Liverpool baada ya kufunga
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni