NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza wakati wa ziara hiyo |
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza na watumishi wa mamlaka hiyo |
Afisa Rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama akizungumza wakati wa ziara hiyo wa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso |
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso katikati akimsikiliza kwa umakini Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga,Phares Aram wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorrah Killo akimueleza jambo kwenye ziara hiyo ya Naibu Waziri Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akitoa mchanga kwenye mtaro huo mara baada ya kuuchimba na sururu wakati wa ziara yake ya kutembelea mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni