Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia
saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa
pamoja na majina mawili(2) ya Familia ya Nguza Viking(Babu Seya), na
Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino
mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia
saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa
pamoja na majina mawili ya Familia ya Nguza Viking (Babu Seya), na
Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino
mkoani Dodoma. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma
Malewa akishuhudia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiyahakiki kwa kuyasoma majina ya Wafungwa 63 waliopata msahama wa
Rais kabla ya kutia saini Nyaraka hizo za Msamaha katika Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiendelea kuhakiki nyaraka hizo za Msamaha wa Rais katika Ikulu ya
Chamwino mkoni Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa mara baada
ya kutia saini majina ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja
na majina mawili ya Wafungwa Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson
Nguza waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumzia msamaha alioutoa jana kwa wafungwa waliokuwa wanatumikia
vifungo mbalimbali magerezani. Kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa
Magereza Dkt. Juma Malewa akisikiliza. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni