Mshambuliaji wa Real Madrid
Cristiano Ronaldo amempiku nyota wa Barcelona Lionel Messi na kutwaa
tuzo ya mchezaji bora duniani Ballon d'Or.
Hii ni mara ya tano kwa Ronaldo
kuitwaa tuzo hiyo na pia mara ya pili mfululizo baada ya mwaka jana
kuitwaa, na amefikisha rekodi sawa na Messi aliyetwaa mara tano.
Msimu uliopita Cristiano Ronaldo
aliisaidia Real Madrid kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na
ubingwa wa La Liga.
Ronaldo akionyesha nguo ya mtoto, wakati akieleza matarajio yake ni kuwa na watoto saba idadi sawa na jezi anayoivaa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni