Watu wapatao watatu wamethibitishwa
kufa baada ya treni ya abiria kuacha njia ikiwa eneo la daraja ambalo
chini kuna barabara ya magari katika jimbo la Washington jana
asubuhi.
Maafisa wa Marekani wamesema watu 72
wamepelekwa hospitali baada karibu sehemu kubwa ya treni ya Amtrak
ikiacha reli.
Mamlaka za jimbo la Washington
zimesema mabehewa yote yatapekuliwa na kunauwezekano kukaongezeka
idadi ya vifo.
Waokoaji wakiendelea na shughuli ya uokoaji na kudhibiti madhara zaidi
Ajali hiyo imesababisha kuwepo kwa foleni ya magari yanayopita barabara ya chini ya daraja hilo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni