Kocha wa Leicester City Claude Puel
amesema anataka Riyad Mahrez kufanya maamuzi kuhusiana na mustakabali
wake baada ya mchezaji huyo raia wa Algeria kufunga goli moja na
kusaidia mengine mawili katika ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya
Huddersfield.
Mahrez, ambaye makataba wake
unamalizika majira ya joto mwaka 2020, aliwekwa katika maombi ya
kutaka kuhama Mei mwaka jana, lakini alibakia na Leicester baada ya
dau la Roma la paundi milioni 27 kukataliwa.
Riyad Mahrez akiwa amemzungusha kipa na kufunga goli la kwanza
Mshambuliaji Islam Slimani akifunga akifunga goli la pili la Leicester City
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni