.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Aprili 2018

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso akizungumza na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Maulid Mtulia, (kushoto kwake) na ujumbe wa wapenzi na mashabiki wa CCM kutoka Kinondoni waliomsindikiza mbunge huyo kutoka Dar es salam hadi bungeni Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, Godwin Aloyce Mollel, (kushoto kwake) na ujumbe wa wapenzi na mashabiki wa CCM kutoka Siha waliomsindikiza mbunge huyo kutoka mkoani Kilimanjaro hadi bungeni Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni