Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasiyoona Tanzania (TLB), Robert Bundala, nje ya jengo la utawala bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018, wapili kushoto ni Mbunge wa Kilolo Venance Mwamotona watatu kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wasiyoona Tanzania(TLB), Jonas Lubago.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni