.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 19 Aprili 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKIWA BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira, January Makamba, bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe, bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Zaynab Vullu kwenye viwanja via Bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni