.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Agosti 2013

BALOZI MDOGO WA OMAN AJITAMBULISHA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza  na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni