.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Agosti 2013

BAROZI WA KENYA AMUAGA RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe, Mutinda Mutiso alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe, Mutinda Mutiso, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe, Mutinda Mutiso, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais, akiwa amemaliza  muda wake wa kazi Nchini.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni