Katika baraza hilo Mkuu wa wilaya ya Urambo Bibi Anna Magowa amezindua rasmi, mpango mkakati wa kimaendeleo ya jamii katika halmashauri hizo mbili.
Akifunga rasmi kikao cha mwisho cha baraza hilo, Mkuu wa wilaya Kaliua Bw Savel Mwangasame Maketa, amewataka watendaji kuondokana na misuguano isiyo na tija, kwa lengo la kuleta maendeleo ya jamii.
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Urambo Bibi Anna Magowa akizindua kitabu cha mkakati wa maendeleo |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Urambo Bibi Anna Magowa akionesha kitabu cha mkakati wa maendeleo baada ya kukizindua. |
![]() |
| Wajumbe wa baraza la madiwani, na watendaji wa halmashauri Kaliua na Urambo |
![]() |
| Wajumbe wa baraza la madiwani, na watendaji wa halmashauri Kaliua na Urambo |
![]() |
| Mkuu wa wilaya Kaliua Bw Savel Mwangasame Maketa akifungua kikao hicho. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya Kaliua Bw Savel Mwangasame Maketa na Mkuu wa wilaya ya Urambo Bibi Anna Magowa. |







Hakuna maoni :
Chapisha Maoni