.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Agosti 2013

BARCELONA YAMTENGEA PAUNDI 35M DAVID LUIZ


Timu ya Barcelona inampango wa kutoa ofa ya kitita cha paundi milioni 35 ili kumnasa mchezaji wa Chelsea, David Luiz.

Uwezekano wa mchezaji huyo raia wa Brazili kutua Barcelona umeongezeka baada ya Chelsea kuamua kutomtumia katika mchezo wao dhidi ya Real Madrid hapo kesho.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni