Alhamisi, 8 Agosti 2013
JAY Z AWAPA WAFANYAKAZI WAKE BONASI YA KUSHANGAZA
BOSI WA UKWELI
Jay- Z
Rapa Jay Z ni aina ya bosi ambaye watu wengi wangependa kufanyakazi kwake kutokana na ukarimu wa hali ya juu alionao kwa wafanyakazi wake.
Rapa huyo hivi karibuni amewapatia wafanyakazi wake kila mmoja bonasi ya kitita cha dola 50,000, sawa na milioni 82.5 za Tanzania baada ya kurejeshewa sehemu ya kodi ya ziada aliyolipa serikali ya Marekani ya dola milioni 6.4.
Kitendo hicho cha Bosi Jay Z kiliwashangaza wafanyakazi kiasi ya baadhi yao kufikia uamuzi wa kumuuliza msaidizi wake wa karibu ili kujiridhisha kuwa isijekuwa malipo hayo yamefanyika kimakosa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni