.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Agosti 2013

LUIS SUAREZ ATENGWA LIVERPOOL


 Luis Suarez akimsikiliza kwa masikitiko Kocha Brendan Rodgers

Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez ameambiwa na Kocha Brendan Rodgers kufanya mazoezi peke yake kutokana na kuonyesha utovu wa nidhamu kwa klabu hiyo.

Rodgers pia amekanusha madai ya mchezaji huyo raia wa Uruguay kuwa Liverpool ilimuahidi kumruhusu kuhama iwapo itashindwa kufuzu Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

Suarez amekuwa akihitajiwa na klabu ya Arsenal kwa uhamisho wa kitita cha paundi milioni 40, nae ameonyesha nia ya kutaka kuondoka Liverpool.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni