.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Agosti 2013

PICHA ZA MATUKIO YA SWALA YA IDD HII LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na rais Mstaafu Dk. Amani Abeid Karume kabla ya kuanza kwa swala ya Idd iliyosaliwa Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja, Kati kati yao ni Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.


Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa salamu za Sikukuu ya Idd baada ya swala ya Idd iliyofanyika leo kitaifa Tanzania bara Mkoani Tabora katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria swala ya Idd hii leo katika msikiti wa Kinondoni Muslim.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni