.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Agosti 2013

EID MUBARAK



Rweyunga Blog inawatakia waislamu wote nchini Tanzania na Ulimwenguni kote Sikukuu njema ya Idd.

Tusherehekea Idd kwa amani, upendo na utulivu huku tukiendelea kuyaenzi mambo yote mema kwa ajili yetu na vizazi vyetu pamoja na taifa letu la Tanzania kwa ujumla.

Pia tumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa kutupatia afya njema na neema kwa kuwakumbuka wale wote waliolazwa hospitali pamoja na wale wasiojiweza. Idd Mubarak.

                                                            Deogratius S. Rweyunga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni