Akiwahutubia waumini hao Makamu wa Rais DK Mohamed Gharib Bilal amewataka waislam nchini kutumia mafunzo, Maonyo, utii, na sala walizopata katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, kwa kudumisha amani na upendo ili kukabiliana na changamoto ambazo zinajitokeza hapa nchini, kwa kudumisha ukalimu na kuwajali wanyonge.
![]() |
| Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora. |
![]() |
| Sehemu ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora. |
![]() |
| Sehemu ya Waumini kinamama wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora. |
![]() |
| Makamu wa Rais DK Mohamed Gharib Bilal akiwahutubia waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Tabora |
![]() |
| Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba akiwa na masheikh wa mkoa wa Tabora |

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni