.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Agosti 2013

RONALDO AIZAMISHA TIMU YA MOURINHO


Ronaldo akipeana mkono kwa shingo upande na Mourinho

Cristiano Ronaldo alimuonyesha kiwango chake kocha wake wa zamani Jose Mourinho na kuipatia Real Madrid kombe la Kimataifa la Guinness baada ya kuizamisha Chelsea kwa mbao 3-1 katika mchezo wa fainali ya kombe hilo.

Katika mechi hiyo Ronaldo alitikisa nyavu mara mbili na kutengeneza bao la kwanza dhidi ya timu inayofundishwa na kocha wao wa zamani Mourinho, ambae aliondoka Bernabeu mwishoni mwa msimu uliopita na kujiunga na Chelsea.
Baada ya kutandikwa bao la kwanza Chelsea ilipata bao la haraka haraka la kusawazisha kupitia Ramires, hata hivyo baada ya hapo ilishindwa kabisa kufurukuta mbele ya Real Madrid na kujikuta ikiondoka na kipigo cha mabao 3-1.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni