Bingwa wa mbio za Olimpiki Usain Bolt
amerejesha taji lake la mbio za dunia kwa mita 100 kwa kushinda kwa
mara ya nne medali ya dhahabu ya mabingwa wa dunia kwa kutumia
sekunde 9.77 huko Moscow.
Katika mbio hizo zilizoambatana na mvua
Mjamaica huyo alirekebisha makosa yake aliyoyafanya huko Daegu miaka
miwili iliyopita na kuimarisha rekodi yake ya kuwa mwanariadha bora
katika historia ya riadha.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni