.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Agosti 2013

ZANZIBAR YAWASILISHA SALAMU ZA POLE KUFUATIA TUKIO LA KUUNGUA MOTO UWANJA WA JOMO KENYATTA


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasilisha salamu za pole kwa Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Balozi Mutinda Mutiso kufuatia uwanja wa ndege wa Kimataifa wan nchi hiyo kukumbwa na janga la Moto. Pembeni yao kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni