Rais Barack Obama na mkewe Michelle ( mbele ) wakifuatiwa na Rais Mstaafu George W.Bush na mkewe Laura kupanda Air Force One wakati wanaelekea Afrika Kusini kwenye misa maalum ya kumuombea Nelson Mandela iliyofanyika jumanne katika uwanja wa FNB Johannesburg
Rais mstaafu George W.Bush ( kushoto ) akiongea jambo ndani ya ndege hiyo
Rais Barack Obama na mtangulizi wake George W.Bush wakiwa ndani ya Air Force One
Rais Barack Obama ( kulia ) akimsikiliza mtangulizi wake George W.Bush ndani ya chumba cha mikutano ndani ya Air Force One
Rais Obama akiwa na Ben Rhodes ambaye ni mshauri msaidizi wa masuala ya ulinzi nchini Marekani
Hapa wakiteremka katika Air Force One
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)







Hakuna maoni :
Chapisha Maoni