.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 12 Desemba 2013

CHELSEA YATINGA 16 BORA LIGI YA KLABU BINGWA ULAYA KWA KUONGOZA KUNDI E

Timu ya Chelsea imefanikiwa kuongoza kundi E na kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kupitia bao pekee lililofungwa na Demba Ba dhidi ya Steaua Bucharest na kufanya matokeo kuwa 1-0.

Mshambuliaji huyo raia wa Senegal aliunganisha wavuni wa mpira wa katika mchezo huo ambao wenyeji Chelsea walitawala dakika zote kumi za mwanza za mchezo huo katika dimba la Stamford Bridge.



BARCELONA YAUA....

Celtic imepata kipigo cha karne katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuchakazwa na Barcelona kwa mbao 6-1 huku mbrazil Neymar akipachika wavuni mabao matatu yaa hat-trick.


Matokeo mengine ya ligi hiyo ni Galatasaray 1 - 0 Juventus, FC Schalke 04 2 - 0 Basel, Marseille 1 - 2 Borussia Dortmund, Napoli 2 - 0 Arsenal, Atlético Madrid 2 - 0 FC Porto,FK Austria Vienna 4 - 1 Zenit St Petersburg na Milan 0 - 0 Ajax. 


 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni