Rais wa Uganda Yoweri Museveni ( kulia ) akipeana mkono na msuluhishi wa mgogoro wa Burundi Mzee Nelson Mandela ( kushoto ) huku wakishuhudiwa na Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa mjini Arusha. Hiyo ilikuwa mwezi wa tatu mwaka 2000.
Nelson Mandela alifariki alhamisi iliyopita na anatarajiwa kuzikwa jumapili ya tarehe 15/12/2013 kijini kwake Qunu

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni