.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumanne, 17 Desemba 2013
DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUMUIYA YA MILADE NABII, AZINDUA KITUO CHA AFYA KAJENGWA, MAKUNDUCHI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza Uongozi wa Jumuiya ya Milade Nabii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa Mazungumzo na Rais leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua kituo cha Afya Kijiji cha Kajengwa,Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja katika shamra shamra
kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kajengwa Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja,jana wakati wa sherehe za ufunguzi wa Kituo cha Afya,katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Jumuiya ya Milade Nabii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada ya Mazungumzo na Rais leo asubuhi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni