.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 17 Desemba 2013

UN YASEMA WATU 1200 WAMEUWAWA NIGERIA KATIKA VURUGU ZA KIDINI

Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 1200, wameuwawa katika mapigano yanayohusiana na wapiganaji wa kundi la waislamu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria tangu kutangazwa kwa hali ya hatari mwezi Mei.

Umoja wa Mataifa umesema idadi hiyo inahusisha vifo vya raia pamoja na wanajeshi vilivyofanywa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram katika majimbo ya Adamawa, Borno na Yobe.

Takwimu hizo pia zinahusisha wapiganaji hao waliouwawa na vikosi vya usalama vya serikali ya Nigeria katika mapambano.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni