Mshambuliaji
mtukutu na machachari nchini Italia Mario Balotelli amekuwa haishi
vituko vya kutengeneza stori zenye kugonga vichwa vya habari.
Safari hii
Balotelli ametoa mpya katika mchezo wao na Roma kwa kuvaa viatu
vyenye habari mbalimbali zilizoandikwa kuhusu yeye na vyombo vya
habari.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni