Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla
akifungua Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika leo
Jijini Dar es Salaam.
Washiriki
kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali
zilizotolewa katika kongamano hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Amos Makalla
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya
Wanawake Twiga Stars.
Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, anayefuata kushoto ni Mkuu wa
Mfuko wa Anita Foundation Dr. Anita White, kulia ni Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo, na anayefuata kulia ni
Mkurugenzi wa Sera, Shirika la Right to Play Afrika Bw.Denis Bright,
waliosimama nyuma ni wachezaji wa Twiga Stars ambao pia wameshiriki
katika Kongamano la Viongozi wa Michezo Wanawake lililofanyika leo
Jijini Dar es Salaam



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni