.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 15 Desemba 2013

KIPIGO ILICHOPATA ARSENAL CHAANZA KUZUA MASWALI MENGI JUU YA UBORA WA TIMU HIYO

Kipigo cha jana cha mabao 6-3 ilichopata Arsenal kutoka kwa Manchester City kimeanza kuzua maswali mengi iwapo timu hiyo itaweza kweli kumudu kuendelea kuongoza Ligi Kuu ya Uingereza.

Wachumbuzi wa masuala ya soka wamebashiri kuwa ni ishara ya Arsenal kurejea katika tatizo lake la misimu iliyopita ambapo ilikuwa ikitetereka mno kwenye ligi hiyo.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni