.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 16 Desemba 2013

LIVERPOOL YAICHAKAZA TOTTENHAM, MAN U NAYO YAZINDUKA

Luis Suarez ametikisa nyavu mara mbili wakati Liverpool ikiifundisha soka Tottenham na kupaa hadi nafasi ya pili ya msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, kwa ushindi wa mabao 5-0.

Suárez alipachia mabao hayo kwenye dakika 18 na 84, huku mabao mengine yakifungwa na Henderson dakika ya 40, Flanagan dakika ya pamoja na Sterling kwenye dakika ya 89.


MANCHESTER UNITED YAZIDUKA.....
Manchester United jana imezinduka katika Ligi Kuu ya Uingereza na kuwafunga wenyeji wao Aston Villa mabao mabao 3-0 katika mchezo ambao Danny Welbeck alipachika kimiani mabao mawili na Tom Cleverley moja.




Hakuna maoni :

Chapisha Maoni