.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 16 Desemba 2013

TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LARINDIMA NDANI YA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA JANA


Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza jana.
Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang’amba aongee na wakazi wa Mwanza jana. James Mwang’amba akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi wa Mwanza.
Masanja Mkandamizaji akiwavunja mbavu wakazi wa Mwanza kwa historia ya kusisimua ya maisha yake.
Wananchi wakifurahia somo kutoka kwa Masanja. Masanja akifanya yake mbele ya wakazi wa Mwanza jana.
Wananchi wakijipatia vitabu vya Mtunzi Eric Shigongo.
Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang’amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo jana jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na Mwang’amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri.
 
(PICHA: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA / GPL, MWANZA)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni