Msururu mkubwa wa wananchi wa Afrika Kusini wakiwa katika majengo ya Umoja ( Union Buildings ) mjini Pretoria kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais wa kwanza mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela
Maelfu ya wananchi hao wakionekana kwa mbali katika majengo hayo
Wananchi wakielekea kwa wingi katika majengo ya Umoja ( Union Buildings ) kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa Nelson Mandela
Hali ilivyo katika viwanja vya Union Buildings
Simanzi!! Mwananchi huyu akihuzunika baada ya kutoa heshima za mwisho
Maandalizi yakiendelea kwa kasi kubwa kijijini Qunu ambako marehemu Nelson Mandela atazikwa jumapili hii ya tarehe 15/ 12/ 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni