Mkurugenzi Mtendaji wa na Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii(TASAF), Ladislaus Mwamanga akifafanua jambo leo
kwa baadhi ya waandishi wa habari na wahariri kutoka Tanzania Bara
na Zanzibar kwenye warsha siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa
kunusuru kaya masikini wa awamu ya tatu inayoendelea kwenye hoteli ya
Oceanic Bay, Bagamoyo
 |
Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano kutoka Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii(TASAF), Zuhura Mdungi akifafanua jambo leo katika
ya warsha siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa
kunusuru kaya masikini inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay,
Bagamoyo
|
 |
Mkurugenzi wa Huduma za jamii kutoka Mfuko wa Maendeleo
ya Jamii(TASAF) Amadeus Kamagenge akitoa mada leo kwa baadhi ya
waandishi wa habari na wahariri kutoka Tanzania Bara na Zanzibar
kwenye warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa Mpango wa Kunusuru
Kaya Masikini wa awamu ya tatu inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic
Bay, Bagamoyo
 |
Baadhi ya waandishi wa habari na wahariri kutoka
Tanzania Bara na Zanzibar wakiwa katika ya warsha siku mbili leo ya
kujenga uelewa wa mpango wa awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini
inayoendelea kwenye hoteli ya Oceanic Bay, Bagamoyo iliyoandaliwa na
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF).
|
|
|
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni