.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 13 Desemba 2013

SERIKALI YA DRC NA WAASI WA M23 WATIA SAINI KUMALIZA MAPIGANO

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na waasi wa M23 jana wametia saini azimio linaloelezea hatua za kumaliza mapigano katika nchi hiyo.

Nakala ya mwisho ya makubaliano hayo iliyotiwa saini na Rais Yoweri Museveni na Rais Joyce Banda wa Malawi Jijini Nairobi, inaelezea hatua za kumaliza mapigano zilizokubaliwa kwenye mazungumzo yaliyofanyika Jijini Kampala.

Marais hao wamesaini nakala za makubaliano hayo katika Ikulu ya Nairobi, akiwemo rais Joseph Kabila wa DRC, ambao walikuwa nchini Kenya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Kenya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni