Jang Song Thaek akiwa na pingu mkononi katika mahakama ya kijeshi Korea Kaskazini
Shughuli za mahakama ya kijeshi zikiendelea katika kesi iliyokuwa inamkabili Jang Song Thaek
Jang Song Thaek ( nyuma ) akiwa na mjomba wake ambaye ni Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un siku ya mazishi ya baba yake Kim, Kim Jong II mwezi wa kumi na mbili mwaka 2011
Hatimaye mjomba wa kiongozi wa Korea Kaskazini Jang Song Thaek ambaye alitiwa hatiani na mahakama ya kijeshi nchini humo kwa kukata kumpindua Rais wa nchi hiyo Kim Jon Un amenyongwa.
Jang ambaye amemuoa shangazi wa Rais Kim Jong Un amenyongwa saa chache zilizopita baada ya kubainika kuhusika na mpango wa kutaka kumpindua mpwa wake



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni