Jukwaa mbele linavyoonekana
Mizingi ikipigwa kwa heshima ya Madiba wakati mwili wake ukiwasili tayari kwa misa
Prince Charles akisalimia ndani ya hema maalum lililoandaliwa kwa ajili ya misa ya kumuombea Nelson Mandela
Mwili wa Nelson Mandela ukiingizwa ndani ya hema maalum kunakofanyika misa ya kumuombea
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akibadilishana mawazo na waombolezaji wengine
Mjane wa Mandela, Graca Machel
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)











Hakuna maoni :
Chapisha Maoni