Ndege iliyobeba mwili wa Rais mweusi wa kwanza nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela ikiwa tayari kupaa kuelekea kijijini Qunu ambako atazikwa kesho
Mwili wa Nelson Mandela ukiingizwa katika ndege baada ya viongozi wa chama cha ANC kutoa heshima zao za mwisho. Mandela atazikwa kesho kijijini kwao Qunu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni