.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 12 Desemba 2013

MTOTO PRINCE GEORGE APATIWA ZAWADI ZA KRISMASI


Mtoto Prince George amefurahia zawadi za Krismasi yake ya kwanza tangu azaliwe akiwa amezungukwa na Familia ya Kifalme.
 
Wazazi wake Prince William na Mkewe Kate, wameonekana pia wakiwa wenye furaha huku Baba mdogo Prince Harry akiwa amevalia mavazi ya Santa.




Hakuna maoni :

Chapisha Maoni