Mkuu wa Huduma za
Rejereja za Kibenki wa Benki ya NBC Tanzania, Mussa Jallo (wa pili kushoto)
akizungumza katika hafla ya kukabidhi
zawadi kwa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki
hiyo ambayo washindi wanne walikabidhiwa pikipiki mpya aina ya Honda. Hafla
hiyo ilifanyika pamoja na uchezeshwaji wa droo ya pili katika Tawi la NBC
Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha
Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Meneja katika kitengo
hicho, Dorothea Mabonye na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Chiku
Saleh.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni