.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 12 Desemba 2013

KILIMANJARO STARS YAMALIZA YA NNE KATIKA MICHUANO YA CECAFA HUKO KENYA

                           
Kilimanjaro Stars ya Tanzania Bara imemaliza michuano ya kuwania kombe la Cecafa inayofanyika huko nchini Kenya kwa kushika nafasi ya nne huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na wageni katika michuano hiyo Chipolopolo ya Zambia.

Zambia ilibidi kusubiri hadi hatua ya kupigiana mikwaju ya penati ili kushika nafasi hiyo ya tatu baada ya kumaliza dakika 90 za mchezo ikiwa imefungana na Kilimajaro Stars 1 - 1.

Zambia ilipata penati 6 dhidi ya 5 za Kilimanjaro. Katika hatua hiyo ya kupigiana penati, Zambia ilikosa penati mbili huku Kilimanjaro Stars ikikosa penati tatu.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni