Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe
Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru
wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini
Nairobi leo.Kushoto ni Mwenyeji Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu
kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William Ruto,Watano Kushoto ni Waziri
Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa
Burundi na mkewe. (picha na Freddy Maro)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni