DR.ASHA ROSE MIGIRO ALA KIAPO BUNGENI MJINI DODOMA
Mbunge
wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa Bunge
na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili
kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni