Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa
Taifa wa Huduma za Fedha, wenye lengo la Kusimamia na kutatua ufumbuzi wa
changamoto zinazozorotesha huduma za fedha nchini. Hafla hiyo imefanyika leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni