.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 18 Desemba 2013

SUNDERLAND YAITOA NJE CHELSEA KOMBE LA CAPITAL ONE


Sunderland imeweza kutinga nusu fainali ya kombe la Capital One baada ya kuifunga Chelsea bao la pili katika dakika za ziada na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 2-1.

Chelsea ilipata bao dakika ya 46 ambalo mchezaji Cattermole alijifunga, na ndipo Sunderland walipozinduka dakika ya 88 na kuzawazisha kupitia kwa Borini, na baadae katika muda wa ziada Ki alipachika bao dakika ya 118.



MAN CITY YASHINDA..........


Edin Dzeko amefumania nyavu mara mbili wakati Manchester City ikifanikiwa kuingia nusu fainali za kombe la Capital One katika mchezo walioibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Leicester. 

A
             Aguero akisindikizwa kutolewa nje ya uwanja baada ya kuumia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni