Neymar amefunga bao lake la sita ndani
ya siku saba na kuisaidia Barcelona kusonga mbele katika kombe la
Copa del Rey kwa ushindi wa mbao 3-1 dhidi ya Cartagena hapo jana.
Barcelona imefanikiwa kusonga mbele kwa
jumla ya mbao 7-1, baada ya katika mchezo wao wa awali kuibuka na
ushindi wa mbao 4-0 dhidi ya klabu hiyo ya ligi ya daraja la tatu.
Pedro alifunga goli la kwanza katika mchezo huo.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni