Young Killer akifanya makamuzi ya nguvu ndani ya CCM Kirumba jana.
H-Baba akikamua katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali lililofikia mwisho jana.
H-baba akiwasalimia mashabiki wake.
Msanii Jitaman akitumbuiza.
Eric Shigongo akimsikiliza mmoja wa watu waliofanikiwa kupitia mafundisho yake ya ujasiriamali.
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Mheshimiwa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akiwafundisha wananchi wa Mwanza.
Watu waliojaa ndani ya CCM Kirumba kufuatilia tamasha hilo..
Nyomi iliyohudhuria tamasha hilo jana
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni