.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 13 Desemba 2013

UNESCO YAJADILI MKAKATI WA MAWASILIANO KUHUSU URITHI WA DUNIA KATIKA KANDA YA AFRIKA


IMG_0291 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Ndugu Selestine Gesimba akitoa Hotuba ya ufunguzi   katika Semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.Picha na WHVUM IMG_0302 
Afisa Mkuu wa UNESCO Dar es Salaam Bw. Abdoul Wahab Coulibaly akitoa hotuba kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. IMG_0314 
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. IMG_0322  
Mshauri wa masuala ya Utamaduni na Maendeleo kutoka shirika la UNESCO akitoa mada iloyohusu Utamaduni na Maendeleo katika Urithi wa Dunia wakati wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. IMG_0359 
Washiriki wa semina ya siku mbili inayohusu Mkakati wa Mawasiliano wa UNESCO kuhusu Urithi wa Dunia katika Kanda ya Afrika iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni