Uwanja wa Amazonia wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 43,000 waliokaa
Uwanja wa Arena Amazonia ambao utatumiwa na England dhidi ya Italia katika mechi yao kundi D kuwania kombe la Dunia mwakani nchini Brazil,mchezo utakaochezwa tarehe 14/ 06/2014 umeua mfanyakazi mmoja ambaye alidondoka toka juu ya paa la uwanja huo akiwa anaendelea na kazi jumamosi iliyopita.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni