Alhamisi, 30 Januari 2014
DJ JOHN DILLINGA A.K.A DJ JD AONGEA
Discko Jockey Mkongwe DJ JOHN DILLINGA A.K.A DJ DJ akiongelea mustakabali wa Disco nchini Tanzania na Isumba Lounge. Isumba Lounge Dj JD huporomosha disco la nguvu kila mwishoni mwa wiki na wakazi wa jiji la Dar es Salaam hufurika kwa wingi kwani ni sehemu pekee wanapoweza kutii kiu yao ya burudani.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni