Mwamuzi wa pambano hilo akimzawadia kadi nyekundu Danny Rose baada ya kumchezea rafu Eden Dzeko katika mchezo wa jana usiku wa ligi kuu ya Uingereza, pambano ambalo lilimalizika kwa Manchester City kuichapa bila huruma Tottenham mabao 5-1. Kwa matokeo hayo Man City imefikisha point 53 na kuongoza ligi ikifuatiwa na Arsenal yenye pointi 52
CHELSEA YABANWA..........
Kocha Jose Mourinho wa Chelsea
amejikuta akipagawa baada ya kutoridhika na maamuzi ya refa wakati
timu yake ikilazimishwa sare ya 0-0 na West Ham hapo jana.







Hakuna maoni :
Chapisha Maoni